1.0 Naomba ujaze fomu za usajili na unairudisha online kwenye email yetu apsptanzania2018@gmail.com au IPIGE PICHA halafu itume kwa njia ya WHATSAPP kwa namba zifuatazo: 0783683683 (Mr. Urembo), 0769971473 (Mr. Macha) 0655767600 (Mr. Edson).

2.0 ADA ZA KUJIUNGA NA APSP 2.1. ADA ya kiingilio 50,000/= 2.2. Ada ya mwaka kwa wanachama ambao ni watumishi wama wenye usajili wa PSPTB ngazi ya Approved kwenda juu (APSP Ordinary Members) 120,000/= 2.2. Wenye usajili wa Graduate kushuka chini (APSP Associate members)Tsh. 60,000/= 2.3. Wanaofanya kazi sekta binafsi na wastaafu (APSP Affliate Members) Tsh. 60,000/=

TUMA MALIPO HAYO YA ANNUAL SUBSCRIPTION FEES KWA MAENDELEO YA APSP KWENYE AKAUNTI YETU YA NMB NA. 20110053478 JINA LITASOMA ASSOCIATION OF PROCUREMENT AND SUPP PROFESSIONALS.

UKISHA TUMA FEDHA NAOMBA WASILIANA NA AGNES MNIKO 0762755659 ILI UWEZE KUPATIWA RESITI YAKO HARAKA.

NAOMBA SANA USHIRIKIANO WAKO ILI SOTE TUVUKE SALAMA HAPA TUSIMWACHE MTU NYUMA

EMMANUEL M. UREMBO MWENYEKITI - APSP 30 JUNI 2021